Yoshua 3:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 mara tu wachukuaji wa lile Sanduku walipofika Yordani na miguu ya makuhani waliolichukua Sanduku ilipotumbukizwa katika maji ya ukingoni (maana Yordani hufurika kingo+ zake zote siku zote za mavuno),
15 mara tu wachukuaji wa lile Sanduku walipofika Yordani na miguu ya makuhani waliolichukua Sanduku ilipotumbukizwa katika maji ya ukingoni (maana Yordani hufurika kingo+ zake zote siku zote za mavuno),