2 Mambo ya Nyakati 24:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Na hawa ndio waliopanga hila juu yake: Zabadi+ mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabu.
26 Na hawa ndio waliopanga hila juu yake: Zabadi+ mwana wa Shimeathi mwanamke Mwamoni na Yehozabadi mwana wa Shimrithi mwanamke Mmoabu.