2 Wafalme 4:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Naye akaenda, akafika kwa yule mtu wa Mungu wa kweli katika Mlima Karmeli. Na ikawa kwamba mara tu yule mtu wa Mungu wa kweli alipomwona kule mbele, mara moja akamwambia Gehazi mtumishi+ wake: “Tazama! ni yule mwanamke Mshunamu.
25 Naye akaenda, akafika kwa yule mtu wa Mungu wa kweli katika Mlima Karmeli. Na ikawa kwamba mara tu yule mtu wa Mungu wa kweli alipomwona kule mbele, mara moja akamwambia Gehazi mtumishi+ wake: “Tazama! ni yule mwanamke Mshunamu.