2 Wafalme 3:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Mwishowe akamchukua mwana wake mzaliwa wa kwanza ambaye angetawala mahali pake, akamtoa+ kuwa dhabihu ya kuteketezwa juu ya ukuta. Na pakawa na ghadhabu kubwa juu ya Israeli, hivi kwamba wakaondoka, wakamwacha na kurudi katika nchi yao.
27 Mwishowe akamchukua mwana wake mzaliwa wa kwanza ambaye angetawala mahali pake, akamtoa+ kuwa dhabihu ya kuteketezwa juu ya ukuta. Na pakawa na ghadhabu kubwa juu ya Israeli, hivi kwamba wakaondoka, wakamwacha na kurudi katika nchi yao.