1 Samweli 27:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Naye Daudi akaipiga nchi, lakini hakuhifadhi hai mwanamume wala mwanamke;+ naye akachukua makundi na mifugo na punda na ngamia na mavazi, kisha akarudi, akaja kwa Akishi.
9 Naye Daudi akaipiga nchi, lakini hakuhifadhi hai mwanamume wala mwanamke;+ naye akachukua makundi na mifugo na punda na ngamia na mavazi, kisha akarudi, akaja kwa Akishi.