Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 17:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mikono ya Musa ilipokuwa mizito, walichukua jiwe wakaliweka chini yake, naye akalikalia; naye Haruni na Huru wakaitegemeza mikono yake, mmoja upande huu na yule mwingine upande ule, hivi kwamba mikono yake ikawa imara mpaka jua lilipotua.

  • Kutoka 24:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Lakini alikuwa amewaambia wale wanaume wazee: “Ninyi tungojeeni mahali hapa mpaka turudi kwenu.+ Na, tazama! Haruni na Huru+ wako pamoja nanyi. Yeyote aliye na kesi, na awaendee.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki