-
1 Wafalme 1:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Nanyi mje mkiwa mnamfuata, naye aingie na kuketi juu ya kiti changu cha ufalme; naye atakuwa mfalme mahali pangu, nami nitampa utume wa kuwa kiongozi juu ya Israeli na juu ya Yuda.”
-