-
Kutoka 17:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Mikono ya Musa ilipokuwa mizito, walichukua jiwe wakaliweka chini yake, naye akalikalia; naye Haruni na Huru wakaitegemeza mikono yake, mmoja upande huu na yule mwingine upande ule, hivi kwamba mikono yake ikawa imara mpaka jua lilipotua.
-