1 Samweli 14:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Na ikawa kwamba Sauli alipokuwa akisema na kuhani,+ yale machafuko yaliyokuwa katika kambi ya Wafilisti yakazidi kuendelea, yakawa makubwa zaidi na zaidi. Ndipo Sauli akamwambia yule kuhani: “Rudisha mkono wako.”
19 Na ikawa kwamba Sauli alipokuwa akisema na kuhani,+ yale machafuko yaliyokuwa katika kambi ya Wafilisti yakazidi kuendelea, yakawa makubwa zaidi na zaidi. Ndipo Sauli akamwambia yule kuhani: “Rudisha mkono wako.”