Mwanzo 43:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Nao walikuwa wameketi mbele yake, mzaliwa wa kwanza kupatana na haki ya mzaliwa wa kwanza+ naye yule mdogo zaidi kupatana na uchanga wake; na hao watu wakawa wakitazamana kwa mshangao.
33 Nao walikuwa wameketi mbele yake, mzaliwa wa kwanza kupatana na haki ya mzaliwa wa kwanza+ naye yule mdogo zaidi kupatana na uchanga wake; na hao watu wakawa wakitazamana kwa mshangao.