Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 3:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Baada yake Hanania mwana wa Shelemia na Hanuni mwana wa sita wa Zalafu wakarekebisha sehemu nyingine iliyopimwa.

      Baada yake Meshulamu+ mwana wa Berekia akafanya kazi ya kurekebisha mbele ya jumba+ lake mwenyewe.

  • Nehemia 6:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kwa maana wengi katika Yuda walikuwa wamejiapisha kwake, kwa vile alikuwa mwana-mkwe wa Shekania mwana wa Ara;+ naye Yehohanani mwana wake alikuwa amemchukua binti ya Meshulamu+ mwana wa Berekia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki