-
Nehemia 3:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Baada yao Benyamini na Hashubu wakafanya kazi ya kurekebisha mbele ya nyumba yao wenyewe. Baada yao Azaria mwana wa Maaseya mwana wa Ananiya akafanya kazi ya kurekebisha karibu na nyumba yake mwenyewe.
-