Esta 6:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Mara moja mfalme akamwambia Hamani: “Fanya haraka, chukua mavazi na farasi, kama ulivyosema, umfanyie hivyo Mordekai yule Myahudi anayeketi katika lango la mfalme. Usiache jambo lolote likose kutimia kati ya mambo yote uliyoyasema.”+
10 Mara moja mfalme akamwambia Hamani: “Fanya haraka, chukua mavazi na farasi, kama ulivyosema, umfanyie hivyo Mordekai yule Myahudi anayeketi katika lango la mfalme. Usiache jambo lolote likose kutimia kati ya mambo yote uliyoyasema.”+