Esta 1:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Lakini Malkia Vashti akazidi kukataa+ kuja kufuatia agizo la mfalme kwa mkono wa maofisa wa makao ya mfalme. Kwa hiyo mfalme akaudhika sana na ghadhabu yake ikawaka ndani yake.+
12 Lakini Malkia Vashti akazidi kukataa+ kuja kufuatia agizo la mfalme kwa mkono wa maofisa wa makao ya mfalme. Kwa hiyo mfalme akaudhika sana na ghadhabu yake ikawaka ndani yake.+