-
Zekaria 5:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Ndipo nikainua macho yangu na kuona, na tazama, kulikuwa na wanawake wawili wakija, na upepo ulikuwa katika mabawa yao. Nao walikuwa na mabawa kama mabawa ya korongo. Nao hatua kwa hatua wakainua ile efa kati ya dunia na mbingu.
-