Mwanzo 19:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Basi wakaendelea kumpa baba yao divai anywe usiku huo;+ kisha mzaliwa wa kwanza akaingia ndani akalala na baba yake, lakini yeye hakujua wakati binti yake alipolala na wakati alipoamka.
33 Basi wakaendelea kumpa baba yao divai anywe usiku huo;+ kisha mzaliwa wa kwanza akaingia ndani akalala na baba yake, lakini yeye hakujua wakati binti yake alipolala na wakati alipoamka.