Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 10:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Na ikawa kwamba Yoshua akatoa amri wakati wa kutua kwa jua, nao wakawashusha kutoka juu ya miti+ hiyo na kuwatupa ndani ya pango ambamo walikuwa wamejificha. Kisha wakaweka mawe makubwa katika kinywa cha pango hilo—mpaka leo hii.

  • 1 Wafalme 6:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na wakati nyumba ile ilipokuwa ikijengwa, ilijengwa kwa mawe ya machimbo+ yaliyomalizika tayari; na sauti ya nyundo na mashoka na vifaa vyovyote vya chuma haikusikika katika nyumba+ ile ilipokuwa ikijengwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki