-
Marko 5:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Kwa hiyo wakafika kwenye nyumba ya yule ofisa-msimamizi wa sinagogi, naye akaona ule mvurugo wenye kelele na wale wenye kulia na kupiga kelele nyingi za kuomboleza,
-