Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 7:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na kuhusu ile nyumba yake ambamo alikuwa akae, katika ule ua mwingine,+ ilikuwa mbali na ile nyumba ya Ukumbi. Ilikuwa hivyo katika muundo. Na palikuwa na nyumba kama Ukumbi huu ambayo alimjengea binti ya Farao,+ ambaye Sulemani alikuwa amemchukua.

  • 1 Wafalme 9:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na Sulemani akaanza kujenga Gezeri na Beth-horoni ya Chini,+

  • 2 Mambo ya Nyakati 9:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na Mfalme Sulemani akatengeneza ngao kubwa mia mbili za dhahabu iliyochanganywa+ (akaweka shekeli mia sita za dhahabu iliyochanganywa kwenye kila ngao kubwa),+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki