Mathayo 15:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Ndipo umati mkubwa ukamkaribia, wakiwa pamoja na watu waliokuwa viwete, vilema, vipofu, mabubu, na wengine wengi, nao wakawaweka miguuni pake, naye akawaponya;+
30 Ndipo umati mkubwa ukamkaribia, wakiwa pamoja na watu waliokuwa viwete, vilema, vipofu, mabubu, na wengine wengi, nao wakawaweka miguuni pake, naye akawaponya;+