-
Mwanzo 10:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kutokana na hawa, watu wa visiwa vya mataifa wakaenea kotekote katika nchi zao, kila mmoja kulingana na lugha yake, kulingana na familia zao, kulingana na mataifa yao.
-