Luka 10:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Kwa hiyo akamkaribia akayafunga majeraha yake, na kumwaga mafuta na divai juu yake.+ Kisha akampandisha juu ya mnyama wake mwenyewe akamleta kwenye nyumba ya wageni na kumtunza.
34 Kwa hiyo akamkaribia akayafunga majeraha yake, na kumwaga mafuta na divai juu yake.+ Kisha akampandisha juu ya mnyama wake mwenyewe akamleta kwenye nyumba ya wageni na kumtunza.