-
1 Samweli 14:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Na yale mauaji ya kwanza ambayo Yonathani na mchukua-silaha wake waliwapiga yakawa watu karibu 20 ndani ya nafasi inayolingana na karibu nusu ya uwanja unaoweza kulimwa na ng’ombe wawili.
-