Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Malaki 2:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Yehova atamkatilia mbali kila mmoja anayefanya hivyo,+ yeye ambaye yuko macho na yeye anayejibu, kutoka katika mahema ya Yakobo, na yeye anayemtolea Yehova wa majeshi toleo la zawadi.”+

  • Luka 11:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Lakini ole wenu ninyi Mafarisayo, kwa sababu ninyi hutoa sehemu ya kumi+ ya mnanaa na mchicha na ya kila mboga nyingine za majani, lakini ninyi hupuuza haki na upendo kwa Mungu! Mambo hayo mlikuwa na wajibu wa kuyafanya, na bado kutoyaacha yale mengine.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki