Yeremia 39:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Na wakuu wote wa mfalme wa Babiloni wakaingia na kuketi katika Lango la Kati,+ yaani, Nergal-shareza, Samgar-nebo, Sarsekimu, Rabsarisi, Nergal-shareza yule Rabmagi na wakuu wengine wote wa mfalme wa Babiloni.
3 Na wakuu wote wa mfalme wa Babiloni wakaingia na kuketi katika Lango la Kati,+ yaani, Nergal-shareza, Samgar-nebo, Sarsekimu, Rabsarisi, Nergal-shareza yule Rabmagi na wakuu wengine wote wa mfalme wa Babiloni.