Ezekieli 29:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 nami nitarudisha kundi la mateka ya Wamisri; nami nitawarudisha katika nchi ya Pathrosi,+ katika nchi ya asili yao, nao huko watakuwa ufalme wa hali ya chini.
14 nami nitarudisha kundi la mateka ya Wamisri; nami nitawarudisha katika nchi ya Pathrosi,+ katika nchi ya asili yao, nao huko watakuwa ufalme wa hali ya chini.