-
1 Samweli 18:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Zaidi ya hayo, Yonathani akavua koti lake lisilo na mikono alilokuwa amevaa, akampa Daudi, na pia mavazi yake, na hata upanga wake na upinde wake na mshipi wake.
-