-
Ezekieli 24:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Zifanye kuni ziwe nyingi. Uwashe moto. Itokose nyama kabisa. Na uumwage mchuzi mzito, na uiache mifupa iwe moto sana.
-