Kutoka 7:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Na samaki waliokuwa katika Mto Nile wakafa,+ nao Mto Nile ukaanza kunuka; nao Wamisri hawakuweza kunywa maji kutoka katika Mto Nile;+ na damu ikawa katika nchi yote ya Misri.
21 Na samaki waliokuwa katika Mto Nile wakafa,+ nao Mto Nile ukaanza kunuka; nao Wamisri hawakuweza kunywa maji kutoka katika Mto Nile;+ na damu ikawa katika nchi yote ya Misri.