-
Ezekieli 40:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Navyo vyumba vyake vya walinzi vilikuwa vitatu upande huu na vitatu upande ule. Na nguzo zake za kando na ukumbi wake zilikuwa kulingana na kipimo cha lango la kwanza. Urefu wake mikono 50, na upana wake mikono 25.
-