-
Ezekieli 40:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Na, tazama! kulikuwa na ukuta nje ya nyumba kuizunguka pande zote. Na katika mkono wa mtu huyo kulikuwa na utete wa kupimia wenye urefu wa mikono sita, na wenye kipimo cha mkono mmoja na cha upana wa kiganja kimoja. Naye akaanza kupima upana wa kitu kilichojengwa, utete mmoja; na kimo chake, utete mmoja.
-