11 Na kulikuwa na njia mbele yake inayofanana na vile vyumba vya kulia chakula vilivyokuwa vikielekea kaskazini,+ hivyo ndivyo urefu wake ulivyokuwa na ndivyo upana wake ulivyokuwa; na milango yake yote ya kutokea ilifanana, nazo ramani zake zilifanana na miingilio yake ilifanana.