Ezekieli 10:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Nami nikaendelea kuona, na, tazama! kulikuwa na magurudumu manne kando ya makerubi, gurudumu moja kando ya kerubi mmoja na gurudumu moja kando ya kerubi mwingine,+ na kuonekana kwa magurudumu hayo kulikuwa kama mng’ao wa jiwe la krisolito.
9 Nami nikaendelea kuona, na, tazama! kulikuwa na magurudumu manne kando ya makerubi, gurudumu moja kando ya kerubi mmoja na gurudumu moja kando ya kerubi mwingine,+ na kuonekana kwa magurudumu hayo kulikuwa kama mng’ao wa jiwe la krisolito.