-
Ezekieli 1:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Popote ambapo roho ilitaka kwenda, yalienda, roho ikitaka kwenda huko; nayo magurudumu yaliinuliwa juu karibu nao kando yao, kwa maana roho ya yule kiumbe hai ilikuwa katika magurudumu.
-