3 Katika mwaka wa kumi na tano wa kumiliki kwa Kaisari Tiberio, Pontio Pilato alipokuwa gavana wa Yudea, na Herode+ alipokuwa mtawala wa wilaya ya Galilaya, lakini Filipo ndugu yake alikuwa mtawala wa wilaya wa nchi ya Iturea na Trakoniti, na Lisania alikuwa mtawala wa wilaya ya Abilene,