Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 11:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Na mwishoni mwa miaka fulani watashirikiana, na binti ya mfalme wa kusini atakuja kwa mfalme wa kaskazini ili kufanya mpango wa usawa. Lakini binti huyo hatabaki na nguvu za mkono wake;+ wala mfalme huyo hatasimama, wala mkono wake; na binti huyo atatolewa, yeye mwenyewe, na wale wanaomleta, na yeye aliyemzaa, na yeye anayemtia nguvu nyakati hizo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki