Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 43:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Naye hakika atavunja vipande-vipande nguzo za Beth-shemeshi, lililo katika nchi ya Misri; na nyumba za miungu ya Misri ataziteketeza kwa moto.”’”

  • Mika 5:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nami nitakatilia mbali sanamu zako za kuchongwa na nguzo zako kutoka katikati yako, nawe hutainamia tena kazi ya mikono yako.+

  • Zekaria 13:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Na itatukia katika siku hiyo,” asema Yehova wa majeshi, “kwamba nitakatilia mbali majina ya sanamu kutoka katika nchi,+ nayo hayatakumbukwa tena kamwe; nami nitaondoa pia katika nchi manabii+ na roho ya uchafu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki