-
Danieli 11:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Na mfalme wa kusini atakuwa na nguvu, pia mmoja wa wakuu wake; naye atamshinda na kutawala kwa mamlaka kubwa sana kuliko uwezo wa kutawala wa yule mwingine.
-