Marko 14:48 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 48 Lakini Yesu akawaambia: “Je, mlitoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni kwenda juu ya mnyang’anyi ili kunikamata?+ Luka 22:52 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 52 Ndipo Yesu akawaambia wakuu wa makuhani na makapteni wa hekalu na wanaume wazee waliokuwa wamekuja hapo kumchukua: “Je, mlitoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni juu ya mnyang’anyi?+
48 Lakini Yesu akawaambia: “Je, mlitoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni kwenda juu ya mnyang’anyi ili kunikamata?+
52 Ndipo Yesu akawaambia wakuu wa makuhani na makapteni wa hekalu na wanaume wazee waliokuwa wamekuja hapo kumchukua: “Je, mlitoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni juu ya mnyang’anyi?+