-
Mambo ya Walawi 15:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 “‘Naye mwanamke, ikiwa mtiririko unaotoka wa damu yake utatiririka kwa siku nyingi+ wakati ambapo si wakati wa kawaida wa uchafu wake wa hedhi,+ au ikiwa atakuwa na mtiririko mrefu kuliko uchafu wake wa hedhi, siku zote za mtiririko wake unaotoka usio safi zitakuwa kama siku za uchafu wake wa hedhi. Yeye si safi.
-