-
Mathayo 12:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Ndipo wakamletea mwanamume aliyeingiwa na roho mwovu, aliye kipofu na bubu; naye akamponya, hivi kwamba yule bubu akaongea na kuona.
-