Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 7:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Nao walipoona baadhi ya wanafunzi wake wakila mlo wao kwa mikono najisi, yaani, ambayo haijanawishwa+⁠—

  • Luka 11:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Hata hivyo, Farisayo huyo akashangaa kuona kwamba hakunawa+ kwanza kabla ya chakula hicho.

  • Yohana 2:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kama ilivyokuwa, kulikuwako mitungi sita ya maji ikiwa imekaa hapo kulingana na kanuni za utakaso+ za Wayahudi, kila mmoja ukiwa unaweza kuchukua vipimo viwili au vitatu vya maji.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki