-
Mathayo 15:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Lakini ninyi husema, ‘Yeyote anayemwambia baba yake au mama yake: “Chochote nilicho nacho unachoweza kufaidika nacho kutoka kwangu ni zawadi iliyowekwa wakfu kwa Mungu,”
-
-
Mathayo 23:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Pia, ‘Mtu yeyote akiapa kwa madhabahu, si kitu; lakini mtu yeyote akiapa kwa zawadi iliyo juu yake, atakuwa na wajibu.’
-