-
Marko 7:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote hawali isipokuwa wawe wamenawa mikono yao mpaka kwenye kiwiko, kwa kushika sana mapokeo ya watu wa nyakati za hapo zamani,
-