-
Mathayo 8:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini ilipofika jioni, watu walimletea watu wengi walioingiwa na roho waovu; naye akawafukuza hao roho kwa neno moja, naye akawaponya wote waliokuwa na hali mbaya;
-