Mathayo 27:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Ndipo Pilato akamwambia: “Je, husikii ni mambo mangapi wanashuhudia juu yako?”+ Yohana 19:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Kwa sababu hiyo Pilato akamwambia: “Je, husemi nami?+ Je, hujui nina mamlaka ya kukufungua na nina mamlaka ya kukutundika mtini?”
10 Kwa sababu hiyo Pilato akamwambia: “Je, husemi nami?+ Je, hujui nina mamlaka ya kukufungua na nina mamlaka ya kukutundika mtini?”