Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Pilato akawaambia: “Basi, nitafanya nini na Yesu anayeitwa Kristo?” Wote wakasema: “Atundikwe mtini!”+

  • Marko 15:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Pilato akajibu tena, akawaambia: “Basi, nitafanya nini na huyu mnayemwita mfalme+ wa Wayahudi?”+

  • Yohana 19:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa sababu hii Pilato akazidi kutafuta jinsi ya kumfungua. Lakini Wayahudi wakapaaza sauti, wakisema: “Ukimfungua mtu huyu, wewe si rafiki ya Kaisari. Kila mtu anayejifanya mfalme anasema vibaya juu ya Kaisari.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki