-
Luka 24:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 [[Lakini Petro akaondoka, akakimbia kwenda kwenye kaburi, akainama mbele, akaona vile vitambaa peke yake. Kwa hiyo akaenda zake, akistaajabu ndani yake mwenyewe juu ya lililokuwa limetukia.]]
-