Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 8:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Ndipo akawaambia: “Imani yenu iko wapi?” Lakini wakiwa wameingiwa na woga, wakastaajabu, wakaambiana: “Kwa kweli huyu ni nani, kwa maana anaagiza hata pepo na maji, nazo zinamtii?”+

  • Yohana 6:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Basi Yesu akachukua ile mikate na, baada ya kushukuru, akaigawanya kwa wale waliokuwa wameketi, vivyo hivyo pia wale samaki wadogo kadiri walivyotaka.+

  • Yohana 6:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Hata hivyo, walipokuwa wamevuta makasia karibu kilometa tano au sita, wakamwona Yesu akitembea juu ya bahari akiwa anaikaribia mashua; nao wakaogopa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki