Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 10:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Wakati wanapowatesa ninyi katika jiji moja, kimbilieni jiji lingine;+ kwa maana kwa kweli ninawaambia ninyi, Hamtamaliza kuyazunguka+ majiji ya Israeli mpaka Mwana wa binadamu atakapofika.+

  • Matendo 12:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Lakini akawapungia+ mkono wanyamaze na kuwaambia kirefu jinsi Yehova alivyomtoa gerezani, naye akasema: “Waambieni Yakobo+ na akina ndugu mambo haya.” Ndipo akatoka, akasafiri kwenda mahali pengine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki